0
1.1k ПРОСМОТРОВ
В процессе - Новая глава Каждую пятницу
reading time
AA Поделиться

SHUJAA

Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa ,ningependa kukutambua Mwalimu wangu kuwa wewe ni miongoni mwa mashujaa waliokuza uja.


Sina budi kusema shukrani Mwalimu.

Nitakukumbuka daima Kwa maana ulinipa mwelekeo na wengine wengi ambao Sasa ni NGUVUKAZI YA NCHI.Haya yote yote yakufaa,Wafaa kuitwa SHUJAA hakika.
Ukawa DAKTARI mwema,yaani ukafahamu saikolojia vema.

Ukawa mzazi mwema.Kurudi wanafunzi na kielelezo chema ukafahamu kundi la kukabidhiwa.Mwalimu gwiji kweli


Kila la heri Mwalimu likwambate daima maishani mwako unavyozidi kuwa mwelek'Allah".20 октября 2021 г. 13:16:24 0 Отчет Добавить Подписаться
0
Продолжение следует… Новая глава Каждую пятницу.

Об авторе

Janet Nyamusi Mwanafunzi katika chuo kikuu Cha Eldoret

Прокомментируйте

Отправить!
Нет комментариев. Будьте первым!
~

Похожие истории