0
1.1k VUES
En cours - Nouveau chapitre Tous les vendredis
temps de lecture
AA Partager

SHUJAA

Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa ,ningependa kukutambua Mwalimu wangu kuwa wewe ni miongoni mwa mashujaa waliokuza uja.


Sina budi kusema shukrani Mwalimu.

Nitakukumbuka daima Kwa maana ulinipa mwelekeo na wengine wengi ambao Sasa ni NGUVUKAZI YA NCHI.Haya yote yote yakufaa,Wafaa kuitwa SHUJAA hakika.
Ukawa DAKTARI mwema,yaani ukafahamu saikolojia vema.

Ukawa mzazi mwema.Kurudi wanafunzi na kielelezo chema ukafahamu kundi la kukabidhiwa.Mwalimu gwiji kweli


Kila la heri Mwalimu likwambate daima maishani mwako unavyozidi kuwa mwelek'Allah".20 Octobre 2021 13:16:24 0 Rapport Incorporer Suivre l’histoire
0
À suivre… Nouveau chapitre Tous les vendredis.

A propos de l’auteur

Janet Nyamusi Mwanafunzi katika chuo kikuu Cha Eldoret

Commentez quelque chose

Publier!
Il n’y a aucun commentaire pour le moment. Soyez le premier à donner votre avis!
~

Histoires en lien