J
Janet Nyamusi


U miongoni mwa mashujaa ninao Wathamini haswa siku hii


Short Story All public. © 2021

#Kumkumbuka #SHUJAA
0
1.1k VIEWS
In progress - New chapter Every Friday
reading time
AA Share

SHUJAA

Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa ,ningependa kukutambua Mwalimu wangu kuwa wewe ni miongoni mwa mashujaa waliokuza uja.


Sina budi kusema shukrani Mwalimu.

Nitakukumbuka daima Kwa maana ulinipa mwelekeo na wengine wengi ambao Sasa ni NGUVUKAZI YA NCHI.Haya yote yote yakufaa,Wafaa kuitwa SHUJAA hakika.
Ukawa DAKTARI mwema,yaani ukafahamu saikolojia vema.

Ukawa mzazi mwema.Kurudi wanafunzi na kielelezo chema ukafahamu kundi la kukabidhiwa.Mwalimu gwiji kweli


Kila la heri Mwalimu likwambate daima maishani mwako unavyozidi kuwa mwelek'Allah".Oct. 20, 2021, 1:16 p.m. 0 Report Embed Follow story
0
To be continued... New chapter Every Friday.

Meet the author

Janet Nyamusi Mwanafunzi katika chuo kikuu Cha Eldoret

Comment something

Post!
No comments yet. Be the first to say something!
~

Related stories