J
Janet Nyamusi


U miongoni mwa mashujaa ninao Wathamini haswa siku hii


Kurzgeschichten Alles öffentlich. © 2021

#Kumkumbuka #SHUJAA
0
1.1k ABRUFE
Im Fortschritt - Neues Kapitel Jeden Freitag
Lesezeit
AA Teilen

SHUJAA

Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa ,ningependa kukutambua Mwalimu wangu kuwa wewe ni miongoni mwa mashujaa waliokuza uja.


Sina budi kusema shukrani Mwalimu.

Nitakukumbuka daima Kwa maana ulinipa mwelekeo na wengine wengi ambao Sasa ni NGUVUKAZI YA NCHI.Haya yote yote yakufaa,Wafaa kuitwa SHUJAA hakika.
Ukawa DAKTARI mwema,yaani ukafahamu saikolojia vema.

Ukawa mzazi mwema.Kurudi wanafunzi na kielelezo chema ukafahamu kundi la kukabidhiwa.Mwalimu gwiji kweli


Kila la heri Mwalimu likwambate daima maishani mwako unavyozidi kuwa mwelek'Allah".20. Oktober 2021 13:16:24 0 Bericht Einbetten Follow einer Story
0
Fortsetzung folgt… Neues Kapitel Jeden Freitag.

Über den Autor

Janet Nyamusi Mwanafunzi katika chuo kikuu Cha Eldoret

Kommentiere etwas

Post!
Bisher keine Kommentare. Sei der Erste, der etwas sagt!
~

Verwandte Stories